Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mgeni Khatib Yahya, amewatahadharisha Wananchi wanaotumia Bandari Bubu kufanya magendo kuacha vitendo hivyo, kwani Serikali haitasita kuchukua hatua kali za kisheria dhidi yao.