SERIKALI KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI IFIKAPO 2030

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe. Rahma Kassim Ali ameeleza azma ya Serikali ni kumaliza migogoro ya ardhi ifikapo 2030 kupitia Mradi wa Mfumo wa Usimamizi na Usajili wa Ardhi (laris).

DKT. MWIGULU AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA MKANDARASI MANYARA

Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Manyara, kumchukulia hatua Mkandarasi wa mradi wa kuboresha miundombinu ya Miji Tanzania (Tactics).

Agizo hilo amelitoa kufuatia kucheleweshwa kwa mradi huo wenye thamani ya Shilingi Bilioni 19.9, unaojumuisha Ujenzi wa Bararaba, Mitaro pamoja na Ujenzi wa Stendi ya Mkoa wa Manyara ambapo mpaka sasa Ujenzi wa stendi hiyo umefikia asilimia 10 tu.

Subscribe to
 

Simplenews subscription

The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.