SMZ YAZIDI KUJIPNGA KATIKA KUWAPATIA WANANCHI WAKE MAENDELEO

WAZIRI SHAMATA

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imekuwa ikichukua mbalimbali kutafuta Wawekezaji ili kuona inawapatia Maendeleo Wananchi wake. 

    Akizungumza mara baada ya kutembelea Mradi wa Kuku Mama Kizimbani Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Mali asili na Mifugo    Mhe. Shamata Shame Khamis amesema Mradi huo ambao chini ya Mwekezaji kutoka China utaweza kuwa Mkombozi kwa Wazanzibar katika upatikanaji wa Ajira na kuwasaidia kuendeleza ufugaji pamoja na kutafutiwa Soko.

    Akizungumza kwa Niaba ya Mwekezaji wa Mradi huo Sun Bo Dkt.Salum Mohammed Ali amesema lengo la Mradi huo ni kuisaidia Serikali kuona Wananchi wake wanajishulisha katika kukuza Uchumi na kuongeza kipato kwa ajili ya Maisha yao na Taifa kwa ujumla. 

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.