MAISHA BORA FOUNDATION KUIMARISHA AFYA ZA WANAWAKE

UTIAJI SAINI

    Taasisi ya Maisha Bora Foundation wametiliana Saini na Jumuiya ya Jamii na Watoto Wajamama kwa lengo la kutekeleza Majukumu ya pamoja ikiwemo  kuwaongezea hifadhi kina Mama na Wasichana wanapokuwa katika ada zao za Mwezi

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Ndg.Fatma Fungo amesema wameamua kushirikiana kwa pomoja ili kuhakikisha Wanawake na Watoto wanaimarisha Afya zao

   Mtaalamu wa Afya  kutoka Kituo cha Afya Mbweni Nafisa Jidawi amesema wanakusudia kuwafikia Wanawake wengi katika kuwapatia Elimu ya Afya,masuala ya lishe ili kuondoa matatizo ya Kiafya katika Jamii

    Makubaliano hayo ni sehemu ya kuelekea Siku ya Heidhi salama Duniani ambayo huadhimishwa Duniani kote kila ifikapo Mei 28 

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.