SERIKALI IMEDHAMIRIA KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA BARABARA MIJINI NA VIJIJINI UNGUJA NA PEMBA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imedhamiria kuimarisha Miundo mbinu ya Barabara Mijini na Vijijini Unguja na Pemba.

Amesema malengo ya Serikali ni kuziimarisha Barabara zilizopo na kujenga mpya katika maeneo mali mbali ambapo Barabara hazijafika ili kuimarisha mtandao wa Barabara Nchini.

Akifungua Barabara ya Kijangwani-Birikau, Wilaya ya ChakeChake Mkoa wa Kusini Pemba katika shamrashamra za kutimiza miaka 60 ya Mapinduzi ya zanzibar 

KUKAMILIKA KWA KIWANDA CHA MWANI PEMBA, KUTATOA FURSA KWA WANANCHI KUPATA MAENDELEO MAKUBWA YA KIUCHUMI.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema kukamilika kwa Kiwanda cha Mwani Pemba, kutatoa fursa kwa Wananchi kupata maendeleo makubwa ya Kiuchumi.

Dk.Mwinyi ameeleza hayo  Chamanangwe Wilaya ya Wete katika uwekaji wa Jiwe la msingi kiwanda cha kusarifu Mwani,ikiwa ni shamra shamra kutimia miaka60 ya Mapinduzi Zanzibar na kusema kuwa hiyo ni ishara kuwa kisiwa cha Pemba kimefunguka Kiuchumi.

DR HUSSEIN ALI MWINYI AMEUAGIZA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII ZSSF KUENDELEA KUTAFUTA KAMPUNI ZA UHAKIKA ZA UWEKEZAJI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr Hussein Ali Mwinyi ameuagiza mfuko wa hifadhi ya jamii ZSSF kuendelea kutafuta Kampuni za uhakika za uwekezaji hasa Mabasi ya kisasa yanayotumia Umeme au Gesi asilia ili kuwarahisishia Wananchi huduma ya usafiri.

Subscribe to DKT HUSSEIN ALI MWINYI
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.