Zaidi ya Wanafunzi Elfu Tano wamefanikiwa kuendelea na Masomo yao ya Kidatu cha Tano katika Skuli za Serikali na Binafsi .
Akizungumza na Waandishi wa habari Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mh Ali Abdul-Gulam husen amesema Idadi ya ufaulu wa Wanafunzi kwa Mwaka 2023 imeongezeka kwa Asilimia 21 ukinganisha na Matokeo yaliopita jambo ambalo limefanya Wizara kuongeza idadi ya Skuli kutokana na wingi wa Wanafunzi .
Aidha Wizara inatoa pongezi kwa Wanafunzi wanaoendelea na Masomo yao ya Kidatu cha Tano na wale watakaoendelea na masomo ya Stashahada ya Ufundi katika Chuo cha Karume
stories
standard