WAFANYABIASHARA WATAKIWA KUHAKIKISHA BIDHAA ZAO ZINAKIDHI UBORA WA VIWANGO

ZBS

    Wafanyabiashara wanaoleta Bidhaa kutoka Nje ya Nchi wametakiwa kuhakikisha Bidhaa hizo zinakidhi  vigezo na masharti   ili kuweza kukuza Soko Kitaifa na Kimataifa.

    Akizungumza katika  Mkutano wa Waingizaji wa bidhaa za Uchapishaji Afisa Viwango Kemikali ZBS ,Ndg.Thahiri Khelefu Ali  Amesema  hivi sasa kumekuwa na bidhaa nyingi kutoka Nje zisizokuwa na Vigezo hivyo amewataka  Waingizaji hao kuhakikisha Bidhaa wanazoingiza zinakizi Vigezo ili kuepusha gharama na  usumbufu kwa Watumiaji wa Bidhaa hizo.

    Nao Washiriki walioshiriki katika Mkutano huo wamesema Watayafanyia kazi  Maagizo hayo  na kuishauri ZBS kuweka Nembo katika bidhaa zilizo kaguliwa ili Wateja kupata Bidhaa zilizo bora na kukuza Uchumi wa Nchi

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.