DKT. MWINYI AMEPOKEA SALAMA ZA POLE KUTOKA KWA KAMPUNI YA WASAFI.

RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyiamepokea Salama za Pole kutoka kwa Kampuni ya Wasafi inayoongozwa na Mkurugenzi mkuu, Nasib Abdul (Daimond Platnum).

Dkt. Mwinyi alipokea salamu hizo Ikulu, Zanzibar alipozungumza na Kiongozi huyo na Wajumbe aliofuatana nao ameushukuru Uongozi wa Wasafi uliofika kwa lengo la kumfariji kufuatia Msiba wa Baba yake Mzazi, Mzee Ali Hassani Mwinyi.

Pamoja na mambo mengine pia, Rais Dk. Mwinyi pia aliwashukuru Wasafi kwa kujitoa kwao na kuunga Mkono juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kuyatangaza mazuri yote yanayofanywa na Serikali kupitia kazi yao ya sanaa.

Nae Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Nasib Abdul amempongeza Rais dk. Mwinyi kwa jitihada zake za kuendelea kuwaletea maendeleo makubwa Wananchi wa Zanzibar 

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.