DAWA ZA KULEVYA AINA MBALIMBALI KUKAMATA ZANZIBAR.

Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na Dawa za kulevya Zanzibar, imefanikiwa kukamata Dawa za kulevya aina mbalimbali zinazokadiriwa kufikia Kilo  Mia Moja na Ishirini na tano.

Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo, Kanal Burhani Zuberi Nassoro, amesema Dawa hizo zimekamatwa katika Operesheni  iliyofanyika Mwezi January katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mjini Magharibi.

Subscribe to KAMISHNA MKUU
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.