Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe. Mudriq Ramadhan Soraga amesema ataweka Mkazo katika maeneo muhimu ya Utalii ikiwemo Uwanja wa Ndege na uwekezaji ili kuongeza Mapato ya Nchi.
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa Wizara hiyo hapo Kikwajuni ahidi kuendeza ufanisi zaidi.
Akikabidhi kwa Waziri Soraga, Mh Simai Mohamed Said amewaomba Watendaji wa Wizara hiyo kumpa ushirikiano Waziri ili kuendeleza majukumu yao.
stories
standard