WAZIRI NAPE AWASISITIZA WAZAZI KUTOWAACHA WATOTO KULELEWA NA MITANDAO

Waziri Nape

      Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amesisitiza kwa wazazi wasiache watoto kujikita zaidi na mitandao katika mambo yasiyofaa kuliko kujifunza.

     “Wazazi wa Kitanzania msiwaachie watoto wenu walelewe na mitandao na tutambue kuwa tunaharibu kizazi chetu, katika mwaka huu wa fedha tutapitia Sheria ya Usalama mtandaoni ili kurekebisha Sheria ya kuwalinda watoto na mitandao, na ninajua hata sisi wabunge wengi wetu hapa ni wazazi na ningependa wote tuchangie katika hili kwa maana hata huko ilipoanzia pia wameanza kurekebisha hilo kwa kuwalinda watoto wao”

     Mhe.Nape ameyasema hayo akiwasilisha Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara anayoisimamia kwa mwaka 2024/2025 

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.