Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Khatib Juma Mjaja ameyasema hayo katika Kikao kazi na Watendaji wa Serikali Wilayani humo, kiliofanyika katika Ukumbi wa Umoja ni nguvu Mkoani.
Mjaja amewataka Wafanyakazi hao kila Mmoja kwa Nafasi yake, kusimamia vyema mapato ya Serikali, ikiwemo kudai Risiti za Elektonic kila wanapofanya Miamala ya Kibiashara.
Naye Mkurugenzi Baraza la Mji Mkoani Yussuf Kaiza Makame amewataka Watendaji Wenzake Wilayani humo, kuwa na mashirikiano yatakayochochea ufanisi wa Majukumu yao.
stories
standard