WAKRISTO ZANZIBAR WASHEREHEKEA PASAKA KWA AMANI NA UTULIVU

Wakrsto Zanzibar

    Waumini wa Dini ya Kikiristo wametakiwa kusherehekea Skukuu ya Pasaka kwa Amani na Utuli bila kuathiri Jamii.

     Hayo yameelezwa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la ZICC Karikoo Zanzibar Bishop Dickson Kaganga katika  kusherehekea Skukuu ya Pasaka amesema ni vyema kwa Waumini wa Dini ya Kikiristo Kumcha Mungu kwa   kuheshimu Dini ya Kiislam hasa katika  mfungo  huu wa Ramadhan.

     Amewashauri Waumini wa Dini  ya Kikiristo kuwa na uvumilivu  na kukemea  kula hadharani  na wasimuasi Mwenyezi Mungu.

     Waumini  wa Dini ya Kikiristo wamesema waimepokea vyema Skukuu ya Pasaka na kuwashauri Waumini wa Dini hiyo  kusherehekea Skukuu bila ya kuvunja Amani iliyokuwepo.

Tags
stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.