Wafanya Biashara wa Nguo wa Maduka ya Darajani wamelalamikia utaratibu mbovu wa ushushaji wa mizigo yao katika Bandari ya Malindi Jambo ambalo kuzorotesha shughuli za Kibiashara.
ZBC imefika hadi Shirika la Bandari la Zanzibar na kuzungumza na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika hilo juu ya malalamiko ya Wafanya Biashara hao .
Aidha amewaraka Wanachi kuyafikisha malalamiko yao ngazi husika wanapoona ucheleweshaji wa mizigo yao ili kupata utatuzi wa haraka .
stories
standard