VIJANA 49 WAPATIKANA KWENYE KUSAKA VIPAJI

KATIBU MKUU ZFF

Katibu Mkuu Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) Hussein Ahmada amesema jumla ya Vijana 49 wamepata fursa ya

kuchaguliwa kwenye zoezi maalum la kusaka Vipaji vya Vijana

Wadogo.

Hussein Ahmada amesema chini ya Umri wa Miaka 15 wamepatikana Vijana 22 na chini ya umri wa Miaka 17 wamepatikana Vijana 27 katika zoezi hilo.

Hussein amewaomba Wazazi kuwaunga Mkono Vijana wao katika kufanikisha mafanikio ya Mpira wa Miguu Zanzibar.

Zoezi hilo la kusaka Vipaji vya Wachezaji Vijana imeandaliwa

Na ZFF kwa kushirikiana na TFF na kusimamiwa na Wataalam kutoka FIFA.

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.