UBINADAMU KAZI IMEIADHIBU MBORIBORINI KWA PENALT

Timu ya Ubinadamu Kazi

Timu ya Ubinadamu Kazi imeibuka na Ushindi wa 4 – 2  baaada ya kuiadhibu Timu ya Mboriborini kwa Mikwaju wa Penalti katika Mchezo maalumu   kuadhimisho ya Siku ya kupambana na Rushwa.

Mchezo huo uliokuwa na Ushindani mkali kwa kila Timu kutaka kuibuka na Ushindi na hadi dakika 90 za Mchezo timu  hizo zilitoka Sare ya bila kufungana na Mikwaju Penalti ikachukua nafasi yake. 

Baada kumalizika kwa Mtanange huo baadhi ya Wachezaji wamesema kuwa ni muhimu wa Michezo na mapambano ya Rushwa. 

Mkuu wa Wilaya ya Mjini  Rashid Simai msaraka ametoa wito kwa Jamii kupambana na Rushwa.

Mkurugenzi  ZAECA Ali Abdallah Ali amesema Serikali  itaendelea kutoa Elimu ya kupambana na Rushwa kupitia Michezo. .

hot
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.