Waziri wa Nchi Oisi ya Makamo wa Pili wa Rais Sera uratibu na Baraza la Wawakilishi Mh.Hamza Hassani Juma amesema hatua ya kuweza katika Sekta mbalimbali imekuwa ikileta tija kwa Serikali kwani husaidia kuongeza Pato la Taifa .
Aidha katika kusherehekea Skukuu ya Eid el-Fitri Mh.Hamza amewasisitiza Wazazi kuendelea kuwa karibu na Watoto na kuacha Tabia ya kuwaacha Watoto peke yao katika Viwanja vya Skukuu kwani jambo hilo linaweza kuleta madhara kwa Watoto hao.
Mkurugenzi maendeleo ya Biashara wa Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Khamis Abdallah Shauri akizungumzia kuhusu Kiwanja cha Dimani amesema tayari Serikali imeandaa utaratibu wa kuimarishaa eneo hilo ili kuwawezesha Wananchi kutumia eneo hilo.
stories
standard