SMT KUANZA KUTOA HUDUMA ZA MAGONJWA YASIOAMBUKIZA KISARAWE

MADAKTARI VIJIJINI

   Serikali inatarajia kuanza kutoa huduma za Kibingwa za Magonjwa yasioambukiza katika Vituo vya Afya ili kuwafikia Wananchi hasa Wanaoishi Maeneo ya Vijijini.

     Mkuu wa Wilaya Mhe.Fatma Almas Nyangasa amesema hayo baada ya kuwatembelea katika Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe ili kufuatilia mwendeleo wa utoaji wa huduma za Matibabu unaofanywa na Madaktari Bingwa kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kupitia Mpango maalum wa kutoa huduma za Kibingwa unaowezeshwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluh Hassan. Mh. Nyangasa amesema uamuazi huo umekuja kufuatia Wanananchi waishio Vijijini kuhitaji wa huduma za Kibingwa.

   Akizungumza wakati wa Zoezi hilo Daktari Bingwa kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dk.Elisha Osath amewapongeza Wananchi waliojitokeza kwa wingi kupatiwa huduma za kibingwa huku akieleza kuwa Wagonjwa wengi waliojitokeza kupima afya ni wale wenye Magonjwa yasiyoyakumbikizwa.

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.