SERA MPYA TEHAMA KUIMARISHA MAENDELEO.

DKT. MZEE SULEIMAN MNDEWA

Mkurugenzi Idara ya Mawasiliano Dk. Mzee Suleiman Mndewa amesema kufanyiwa marejebisho Sera ya TEHAMA kutasaidia kuimarisha Mipango ya Maendeleo katika Taifa.

Akifungua Kongamano la kujadili Sera mpya ya TEHAMA Mdewa amesema kuwa Sera iliyopo imepitwa na muda hiyo Teknologia inaendelea kukuwa na inahitaji kuwekewa misingi ili iweze  kwenda na wakati wa sasa.

Aneth Kasebele akiwasilisha mada katika Kongamano hilo amesema  Sera inahitaji kuleta tija katika makundi yote katika Jamii .

Awali Mkurugenzi Utafiti na Sera Dkt Tahir Khalfan  amesema katika Sera hiyo ZRCP imeangalia zaidi uimarishaji katika maendeleo ya Teknolojia ya TEHAMA kwa maendeleo.

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.