RIPOTI ZAELEZA KUWA UCHUMI WA TANZANIA UPO VIZURI

Majadiliano ya kimkakati

    Waziri wa Fedha SMT Dr. Mwigulu Nchemba amesema uchumi wa Tanzania umeendelea kuwa himilivu licha ya Dunia kukumbwa na misukosuko ya kiuchumi.

    D r. Mmwigulu Nchemba amesema hayo wakati wa majadiliano ya kimkakati ya ngazi ya juu yaliyofanyika Jijini Dar es salaam na kushirikisha Mawaziri, na Makatibu Wakuu wa SMT, SMZ, Mabalozi pamoja na Wadau wa maendeleo ambapo Waziri Mwigulu.

    Kwa upande wake Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Kazi Uchumi na Uwekezaji Mhe.Sharifu Ali Sharifu amesema licha ya Tanzania kufanya vizuri kiuchumi bado kuna maeneo yanahitaji msukumo wa kimkakati.

      Majadiliano hayo kimkakati ya ngazi ya juu yamelenga kutafuta njia za kuhakikisha Serikali zote mbili zinafanya vizuri katika masuala ya uchumi wakati huu ambapo Serikali inaandaa Dira ya Taifa ya maendeleo ya 2050. 

Tags
stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.