RAMADHAN BROTHERS KATIKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO

Ramadhani Brothers

    Kundi la  'The Ramadhan Brothers' ambao ni washindi wa tuzo za America's Got Talent na ni vijana machachari katika sanaa ya maonyesho ya sarakasi, wamefanikiwa kufika katika kilele kirefu zaidi barani Afrika maarufu kama Paa la Afrika (Uhuru Peak) katika Mlima Kilimanjaro

     Ramadhan Brotherz Wamefanikisha adhma yao ya kusimama eneo liliopojuu zaidi barani Afarika ili kutimiza lengo la kutanganza vivutio vya Utalii Tanzania pamoja na kampeni Mahususi ya #VOTE NOW katika kupigia Kura Mlima Kilimanjaro na Hifadhi ya Taifa Serengeti zilizopo nchini Tanzania.

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.