DKT.MWINYI AWAONGOZA WANANCHI MAZIKO YA MZEE WALID FIKIRINI

MAZIKO

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewaongoza Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi mbalimbali katika Maziko ya Mzee Walid Fikirini Aliefariki na Kuzikwa Kijijini kwao Kikombe-Tele Mkoa wa Kaskazini Unguja.

     Marehemu Walid Fikirini wakati wa uhai aliwahi kuwa Katibu Mtendaji wa  Kamisheni ya Utalii pamoja na kuhudumu nafasi mbalimbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

    Mara baada ya Mazishi, Dkt. Mwinyi amefuatana na Viongozi wengine kutoa  Pole kwa Familia na ameitaka Familia ya Marehemu kuwa  na subra katika kipindi hichi kigumu kwa kuondokewa na Mpendwa wao pamoja na kumuombea Dua Marehemu.

    Marehemu Walid Fikirini Ameacha Kizuka na Watoto

    Mwenyezi Mungu Amsamehe Makosa yake Amin…

stories
standard

Zanzibar, TZ

overcast clouds

Weather in Zanzibar, TZ
25°C
Details
Feels like 25°C
Wind 3.0 m/s
Humidity 87%
Precip
Pressure 1012 hPa
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.