Timu ya Ubinadamu Kazi imeibuka na Ushindi wa 4 – 2 baaada ya kuiadhibu Timu ya Mboriborini kwa Mikwaju wa Penalti katika Mchezo maalumu kuadhimisho ya Siku ya kupambana na Rushwa.
Mchezo huo uliokuwa na Ushindani mkali kwa kila Timu kutaka kuibuka na Ushindi na hadi dakika 90 za Mchezo timu hizo zilitoka Sare ya bila kufungana na Mikwaju Penalti ikachukua nafasi yake.
Baada kumalizika kwa Mtanange huo baadhi ya Wachezaji wamesema kuwa ni muhimu wa Michezo na mapambano ya Rushwa.
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Rashid Simai msaraka ametoa wito kwa Jamii kupambana na Rushwa.
Mkurugenzi ZAECA Ali Abdallah Ali amesema Serikali itaendelea kutoa Elimu ya kupambana na Rushwa kupitia Michezo. .
hot
standard