KIWANDA CHA SUKARI MKULAZI MOROGORO KUANZA KUZALISHA SUKARI

UZALISHAJI SUKARI

    Baada ya Majaribio ya Kuzalisha Sukari Mwaka Jana katika Kiwanda cha Sukari Mkulazi kilichopo Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, Kiwanda hicho kwa sasa kimeanza rasmi uzalishaji wa Sukari  Julai Mosi Mwaka huu ambapo mpaka sasa Tani zaidi ya Miatatu zimezalishwa na kuanza kuingia Sokoni.

   Hayo yamebainishwa na Meneja wa Kiwanda cha Sukari Mkulazi Mhandisi Aron Mwaigaga mara baada ya Kamati ya Usalama Wilaya Kilosa ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya hii Bwana Shaka Hamdu Shaka kufika na kujionea Uzalishaji huo ulivyoanza.

   Aidha akizungumzia namna Kiwanda hicho kinazalisha Umeme chenyewe kisha kuiuzia Tanesco Meneja wa Kiwanda cha Sukari Mkulazi Mhandisi Aron Mwaigaga amefafanua kuwa kwa sasa Kiwanda hicho kinatumia Umeme wake wenyewe huku Mtendaji Mkuu wa Kiwanda hiki  Selestini Some Naye akieleza kuwa kwa sasa shughuli ya uzalishaji imeshaanza rasmi.

   Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kilosa b Shaka Hamdu Shaka amesema  Kiwanda hiki kitasaidia kuongeza upatikanaji wa Sukari ya Uhakika kwa 

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.