MHE. HEMED APONGEZA MCHANGO WA TAASISI ZA DINI KUSIMAMIA MAADILI

MH HEMED SULEIMAN ABDULLA
English

Makamu Wa Pili Wa Rais Wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah Amesema Serikali Inatambua Na Kuthamini Mchango Wa Viongozi Wa Dini Katika Kuimarisha Amani, Maendeleo Na Maadili Mema Kupitia Mafundishoya Dini.

Mh. Hemed Suleiman Ametoa Kauli Hiyo Wakati Akizungumza Katika Uzinduzi Wa Mashindano Ya Qur’an Ya Mabara Yote Ulimwenguni Yanayo Ratibiwa Na Taasisi Ya Al Hikma Jijini Dar Es Salaam

Huku Akiwasihi Wanamchi Kuendelea Kushikamana Katika Kulinda Na Kutunza Amani Ya Nchi.

Aidha Mh. Hemed Suleiman Amewasisitiza Wananchi Kujitokeza Kwa Wingi Katika Kushuhudia Mashindano Hayo

Kwa Upande Wake Naibu Waziri Wa Mambo Ya Ndani Ya Nchi 

Mh. Ayoub Mohamed Mahmoud Amesema Mashindano Hayo Ni Ishara Ya Kudumisha Amani Upendo, Na Mshikamano Katika Taifa.

Kishki Amesema Mashindano Ya Mwaka Huu Yatakuwa Na Utofauti Na Yaliyopita.

 

Simplenews subscription

The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.