MWENYEKITI CCM MKOA WA MJINI KICHAMA AMEWATAKIA IDDI ADHA WAUMINI WA KIISLAM.

WENYEKITI CCM

Mwenyekiti  wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Talib Ali  amesema Mwenyezi Mungu huteremsha Neema kubwa katika Mikusanyiko yenye Kheri na kuwatakia Iddi Adha Waumini wote wa Kiislam

Akitoa Sadaka ya Kuku kwa Viongozi na Wanachama wa CCM katika kusherehekea Sikukuu ya Edd Adh huko Amani  Mkoa.

Amesema kutoa Sadaka kwa Mwenye nacho kunasaidia kwa walokuwa hawana uwezo kufurahi katika kipindi hiki cha furaha.

Nao baadhi ya viongozi waliopata Sadaka hiya wamesifu hatua ya kiongozi wao.

Katika hafla hiyo zaidi ya Kuku 400 wametolewa Sadaka na Mwenyekiti huyo wa CCM Mkoa.

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.