Hatua Hiyo Ya Mkuu Wa Wilaya Imetokana Na Kufanya Ukaguzi Katika Skuli Ya Sekondari Isoso Hivi Karibuni Na Kukutana Na Wanafunzi Sita Ambao Wameripoti Kati Ya 138 Waliopangiwa Katika Skuli Hiyo.
Akitoa Taarifa Mkuu Wa Skuli Ya Sekondari Isoso Anusiata Audax Amesema Mwitikio Wa Wazazi Kupeleka Watoto Waliochaguliwa Kujiunga Kidato Cha Kwanza Ni Mdogo.
Afisa Elimu Sekondari Wilaya Ya Kishapu David Mashauri Amesema Wameanza Kupokea Wanafunzi Baada Ya Skuli Kufunguliwa Huku Baadhi Ya Wazazi Wakaeleza Tatizo Linalosababisha Washindwe Kupeleka Watoto Wao Skuli.
stories
standard