MICHEZO INA FURSA KUBWA YA KUKUZA IDADI YA AJIRA KWA VIJANA

MICHEZO KUKABIDHI VIFAA

   Mwenye kiti wa Umoja wa Vijana, CCM Tawi la Magomeni, Shabani Jaffar amesema Michezo ina fursa kubwa ya kupaa Ajira kwaharaka na kutimiza malengo.

   Kauli hiyo ameitoa wakati akikabidhi Mipira ya kuchezea kwa timu ya Azam Zanzibar, huko Uwanja wa Magomeni Mzalendo,ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake kwa Timu hiyo na ameahidi kuendelea kuwaunga mkono Vijana wenizwe kufikia malengo yao.

   Katibu wa Timu ya Azam Zanzibar, Mahmud Juma ameshukurujitihada hizo na amesema tatizo la ukosefu wa Mipira kwa Timu yao lilikua la Muda Mrefu.

   Jumla ya Mipira Mitano imekaidhiwa kwa Timu ya Azam Zanzibar  inayojumuisha Wachezaji Vijana wenye waliochini ya Umri wa Miaka 20, 17 na 14.

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.