MAAFISA USAFIRISHAJI DODOMA WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA SGR

SGR

   Maafisa usafirishaji Mkoa wa Dodoma wametakiwa kutumia vyema fursa ya Ujio wa Treni ya Kisasa kwa kuhakikisha wanalinda Picha ya Serikali kwa kuwafikisha salama Abiria watakaotumia Treni hiyo.

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule, ameyasema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuelekea Uzinduzi Rasmi wa Safari za Treni ya Umeme, itakayozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Agosti Mosi Mwaka huu katika Stesheni kuu Dodoma. 

    Katika hatua nyingine Mhe.Senyamule ameelezea Mikakati yao baada ya Ujio wa Treni hiyo katika kuongeza fursa Mkoani Dodoma. 

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.