KUWEPO KWA KAMBI MAALUM ZA KUWALEA VIJANA KATIKA MAADILI MEMA KUTASAIDIA KUIOKOA JAMII DHIDI YA VITENDO VIOVU NA KUJENGA JAMII ILIYO BORA.

MAADILI

Akizungumza Katika Hafla Ya Uzinduzi Wa Kambi Ya Maadili Kupitia Jumuiya Ya Malezi Ya Kiislam Elimu Na Maadili Zanzibar  Mlezi Wa Jumuiya Hiyo Jaji Mshibe Ali Bakari Amesema Athari Zinazoikumba Jamii Zinatokana Na Kukosa Elimu Pamoja Na Maadili Mema.

 

Akisoma Risala Kwa Niaba Ya Washiriki Wa Kambi Hiyo Khamis Ali Khamis Amesema Kambi Hiyo Imeandaliwa Ili Kuwajenga Kitabia Na Kutambua Lengo La Kuumbwa Kwao Pamoja Na Kujilinda Na Athari Zinazoweza Kuwakumba Na Kuhatarisha Maisha Yao.

 

Kambi Hiyo Ya Nne  Iliyohusisha Vijana Waliomaliza Masomo Ya Kidato Cha Nne Wapatao 50 Watafundishwa Masuala Ya Maadili Mema Kwa  Kipindi Cha Miezi Mitatu.

 

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.