KATIBU ALAANI UHARIBUFU MIUNDOMBINU YA HUDUMA ZA MAJI

HUJUMA MIUNDOMBINU YA MAJI

     Serikali imelaani Kitendo cha hujuma za kuharibu miundombinu ya huduma za Maji safi na salama katika  Visima vya Kidutani .

     Akizungumza katika kukagua athari za kuibiwa  Waya za Umeme  katika Visima  vya Maji huko Kidutani Katibu Mkuu Wizara ya Maji Nishati na Madini Ndg.Joseph John Kilangi  amesema wizi huo unarejesha nyuma juhudi za Serikali za kuhakikisha Wananchi wanapata huduma bora karibu na makaazi yao . 

     Nao Wananchi amesema wizi huo uliotokea umerudisha nyuma matumaini yao ya kupata huduma ya Maji hasa katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan .

Tags
stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.