FEI TOTO AMWAGA PONGEZI KWA KIUNGO MSHAMBULIAJI WA YANGA AZIZI KI.

FEISAL SALUM

    Feisal Salum ametoa Pongezi kwa Kiungo Mshambuliaji wa Yanga  Azizi Ki kwa kuibuka Mfungaji bora katika Ligi Kuu ya NBC Premium League baada ya kupachika Magoli 21.

    Ikumbukwe kuwa nafasi hiyo ya Ufungaji bora ilikuwa ikigombaniwa na Viungo Wawili hao huku Azizi Ki na Fei Toto ambapo Aziz Ki akitupia Jumla ya Mabao 21.

    Nyota hao Wawili katika mzunguko wa 29 kila Mmoja walikukwa wamepachika Mabao 18 na Mechi ya Mzunguko wa 30 Fei ameacha na Kiungo huyo.

    Aidha Feisal amesema Nafasi ya kushiriki Michuano ya Klabu Bingwa Afrika kwa Timu ya Azam  FC imewaweka katika Nafasi ya Juu kwa Afrika.

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.