CHANEZA KUFUNGUA DIRISHA LA UCHUKUAJI FOMU ZA NAFASI ZA UONGOZI.

MWENYEKITI WA KAMATI YA UCHAGUZI

Chama Cha netball Zanzibar kimefungua Dirisha la uchukuaji Fomu za kuwania nafasi mbali mbali ikiwemo nafasi ya Uraisi wa Chaneza Taifa.

Akizungumza na Waandishi  wa habari katika Ofisi za Baraza la Taifa la Michezo, Mwanakwerekwe,  Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Muhidini Masuzu, amesema uchaguzi huo  unaotarajiwa kufanyika Tarehe 9 Mwezi 6.

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.