English
Katibu Mtendaji Wa Kamisheni Ya Kiswahili Afrika Mashariki, Dkt. Caroline Asiimwe, Amesema Kiswahili Kimepiga Hatua Kubwa Kimataifa, Kikitambuliwa Na Umoja Wa Mataifa Na Unesco Kama Lugha Yenye Mchango Muhimu Duniani.
Hatua Hiyo Inatokana Na Idadi Ya Wanaozungumza Ikiendelea Kuongezeka Barani Afrika Na Kutumika Katika Majukwaa Ya Kidiplomasia, Biashara Na Teknolojia Jambo Linalothibitisha Kuwa Si Lugha Ya Kikanda Pekee, Bali Ni Sauti Ya Afrika Katika Jukwaa La Dunia.
