WAZIRI MASOUD AWAONYA WATENDAJI WA ZASCO
Waziri Wa Uchumi Wa Blue Na Uvuvi Zanzibar Mhe. Masoud Ali Mohammed Amewataka Watendaji Wa Kampuni Ya Mwani (Zasco) Kuhakikisha Mipango Waliojiwekea Inakwenda Sambamba Na Malengo Ya Serikali Ya Kuliimarisha Zao Mwani Pamoja Na Kuinua Maslahi Ya Wazalishaji Wa Hilo.
Akizungumza Na Wafanyakazi Wa Zasco Huko Mlandege Mhe. Masoud Amesema Ili Mpango Hupo Uiende Sambamba Na Malengo Ya Serikali Ni Lazima Kuwe Na Juhudi Za Utekelezaji Kwa Watendaji Wake.
