WAZIRI WA UCHUMI WA BULUU AMEUTAKA UONGOZI WA JKU KUTUMIA WATALAAMU WALIONAO KATIKA KUZALISHA AJIRA.
Ametoa kauli katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la msingi katika Mahanga ya Jeshi lakujenga uchumi JKU huko Chambani ikiwa ni shamra shamra za kuelekea kilelecha maadhimisho ya sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, amesema pamoja na mahitaji yaliyoanishwa katika sheria ya 2003 ya Jeshi hilo kuwezakujiendeshe kiuchumi lakini Jeshi linapaswa kutumia taaluma ya ziada ili kwenda sambamba na mabadiliko ya Dunia.