KUFANIKIWA KWA UKUEMU KUTASAIDIA KUKUWA KWA TAASISI ZA KIISLAMU NA KUFIKIA MALENGO YAO.

Akizungumza katika  Mkutano Mkuu wa Umoja huo, Prof Hekiman amesema malengo ya Taasisi hiyo yaimarishe  Waislamu Nchini.

Akitoa Taarifa ya Utekelazaji Katibu wa Jumuiya  amesema kunahitajika hamasa za kushawishi Vijana kujiunga ili kuendeleza harakati za Maendeleo.

Wakichangia katika Mkutano Mkuu huo  wa Uchaguzi baadhi ya wanachama wameshauri kuwekwa wazi mipango ya maendeleo ikiwemo miradi ya Elimu ya juu.

Subscribe to Prof Hekiman
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.