HASSAN MATATANI TUHUMA ZA MAUAJI YA ALIEKUWA MKEWE

Jeshi la Polisi Mkoani Lindi inamshikilia mwanaume mmoja Hassan Athuman Mpogo (46) mwislam na mmwera mkazi wa Somanga Wilayani Kilwa Mkoani Lindi kwa tuhuma za kumuua aliekuwa  mke wake kwa kumkata na panga Katika sehemu mbali mbali za mwili wake

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, ACP John Imori, amesema tukio Hilo kimetokea April 26, 2026 ambapo mtuhumiwa alimshambulia mwanamke huyo na kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili, hali iliyosababisha kifo chake alipokuwa akipelekwa kituo cha afya.

Subscribe to Polisi Tanzania
 

Simplenews subscription

The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.