TAASISI ZA HAKI JINAI ZIMETAKIWA KUSHIRIKIANA NA KUSHUGHULIKIA KESI KATIKA KUTOA HAKI KWA MUJIBU WA SHARIA.

Wito Huo Umetolewa Na Mwenyekiti Wa Kamati Ya Viongozi Wakuu Wa Kitaifa Ya Baraza La Wawakilishi Mhe. Machano Othman  Said, Huko Ofisi Ya Mkurugenzi Wa Mashtaka Chake Chake Katika Kikao Cha Uwasilishwaji Wa Tarifa Za Utekelezaji Wa Ofisi Ya Rais Katiba Sheria Na Utumishi Wa Umma Katika Kipindi Cha Robo Mwaka.

 

Amesema Wizara Hiyo Ndio Yenye Jukumu Kubwa La Kuhakikisha Inasimamia  Haki Za Wananchi Kwa Kupata Haki Zao Na Kuilinda Serekali Katika Kuwahudumia Wananchi Hivyo Ni Vyema  Kutoa Haki Kwa Kufuata Misingi Ya Sheria.

 

Subscribe to Mwenyekiti Wa Kamati Ya Viongozi Wakuu Wa Kitaifa Ya Baraza La Wakilishi Mhe. Machano Othman  Said
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.