Timu ya Kisimani imekubali Kipgo cha mabao Mawili kwa Moja dhidi ya Timu ya Kiwani Star katika Mchezo wa Mpira wa Miguu uliofanyika katika Kiwanja cha Mauani Wilaya ya Mkoani.