RAIS WA ZANZIBAR DKT HUSSEIN ALI MWINYI ANAONGOZA KWA KUFUATA SHERIA NA KATIBA YA NCHI.
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Charles Hilary amesema ,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi anaongoza kwa kufuata Sheria na katiba ya Nchi.