CHANEZA KUFUNGUA DIRISHA LA UCHUKUAJI FOMU ZA NAFASI ZA UONGOZI.
Chama Cha netball Zanzibar kimefungua Dirisha la uchukuaji Fomu za kuwania nafasi mbali mbali ikiwemo nafasi ya Uraisi wa Chaneza Taifa.
Akizungumza na Waandishi wa habari katika Ofisi za Baraza la Taifa la Michezo, Mwanakwerekwe, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Muhidini Masuzu, amesema uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Tarehe 9 Mwezi 6.