JKU BINGWA LIGI YA MWENGE YA MPIRA WA MIKONO.
Timu ya JKU ya Mpira wa Mikono imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa Michuano ya Kombe la mwenge CUP baada ya kuicharaza mabao 25 kwa 16 Timu ya Nyuki Mchezo wa fainali ulivurumishwa katika Uwanja wa Jeshini.
Mchezo huo ulikuwa na vuta nikuvute kwa kila timu kutaka kuwa Bingwa lakini Nyuki walishindwa kufua Dafu mbele ya jku na kuruhu Timu hiyo kuondoka na Vikombe kwa upande wa Wanawake na Wanaume.