WASIMAMIZI WA UCHAGUZI KUFUATA MAADILI
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC inaendesha Mafunzo ya Uchaguzi kwa Waratibu na Wasimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Ngazi ya Jimbo Kwahani.
Akifungua Mafunzo hayo ya Siku Tatu Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Jacobs Mwambegele amewataka kuzingatia Sheria,Kanuni na Miongozo ya uchaguzi ili kuendesha Uchaguzi kwa haki na kuondoa Malalamiko
Amesema Tume imewateuwa kutokana na sifa za kusimamia ,hivyo wazingatie Mafunzo hayo pamoja na kuwashirikisha Wadau wa uchaguzi kupitia Vyama vyao katika hatua ili kurahisisha utekele,aji wa Majukumu yao