SEREKALI KUSIMAMIA UTOAJI ELIMU JUU YA UMILIKI HATI YA MATUMIZI YA ARDHI.
Serekali imesema itahakikisha inasimamia suala la utoaji wa Elimu kwa Wananchi kutambua umuhimu wa kumiliki hati ya matumizi ya Ardhi.
Mh Salha Mohammed Mwinjua Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi ameyasema hayo katika hafla ya Uzinduzi wa ugawaji wa hati za haki ya matumizi ya Ardhi kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magaribii amesema umiliki wa hati ya Ardhii unasaidia kupunguza Migogoro ya Ardhi inayojitokeza kwa Wanachi ambao hawajafanya uhakiki katika maeneo yao.