Katika kuhakikisha , zao la Korosho linaongezewa thamani katika ubanguaji, Wadau wa Zao hilo wamesema Serikali inapaswa kuongeza nguvu katika ubanguaji,ili kuondoka na uuzaji wa korosho ghafi, na kufikia lengo la Serikali la kubangua korosho zote zinazozalishwa hapa Nchini ifikapo 2030.