JUMUIYA YA MUZDALIFA IMESHAURI TAASISI ZA KIJAMII KUSHIRIKIANA
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Muzdalifa Farouk Hamad amesema ameshauri Taasisi za Kijamii kushirikiana na kuwa na malengo ya pamoja katika kuifikia Jamii.
Akikabidhi Msaada wa vitu mbambi mbali kwa Masheha na Yatima katibu Farouk amesema malengo ya pamoja yataisaidia Serikali katika kukuza ustawi wa Jamii
Amesema hayo wakati akikabidhi Msaada huo na kuipongeza Serikali kwa kuendelea kuwapunguzia ushuru katika mambo yanayohusu Jamii.