Kuelekea Mchezo wa ngao ya hisani wa PBZ Yamle Yamle Cup 2024 ambao utakwenda kuwakutanisha uso kwa uso Mabingwa wa Michuano hiyo Mboriborini na Timu ya Mazombi, Mashabiki na Wapenzi wa Soka Visiwani Zanzibar wamelezea matumaini yao kulekea Mchezo huo huku wakipongeza Maandalizi mazuri ya Msimu huu wa Sita wa Mwaga Maji.
stories
standard