Kikosi cha Utalii na Diplomasia wametakiwa kufuata misingi ya kazi yao ili kuendelea kukuza Maendeleo ya Uchumi wa Nchi kupitia Sekta ya Utalii.
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe Mudrik Ramadhan Soraga ametoa Ushauri huo katika Kikao na Kikosi hicho huko katika Ukumbi wa Idriss Abdulwakil
Amesema misingi ya kazi ikifuatwa itaimarisha haiba ya utalii hali ambayo itasaidia kuvutia Watalii wa Ndani na Nje ya Nchi.
Amewasisitiza kuwa Walimu kwa Watalii na kufahamu Mila na Desturi za Utamamaduni wa Zanzibar
Mkuu Kikosi cha Utalii na Diplomasia Juma Saleh Seif amesema wataendelea kuimarisha ulinzi na usalama kwa watalii ili kuendelea kuwa salama.
stories
standard