BARAZA LA SANAA SENSA YA FILAMU NA UTAMADUNI KUSIMAMIA UTAMADUNI

WAZIRI TABIA  MAULID MWITA

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Mhe Tabia Maulid Mwita amewataka Wajumbe wa bodi ya Baraza la sanaa Sensa ya Filamu na utamaduni kua na mikakati ya kusimamia Utamaduni Mila na Silka za Kizanzibari katika kutimiza majukumu yao.

Akizindua Bodi mpya ya Baraza la sana Sensa ya Filamu na Utamaduni katika Kikao cha Kwanza cha Bodi hiyo Waziri Tabia amesema ni vyema kutatua matatizo ya wasani ambayo wanaweza kuyatekeleza kwa ufanisi ili kuendeleza na kulinda maadili ya Kizanzibariii  

Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la sana Sensa ya Filamu na Utamaduni Safia Ali Rijali amesema wataendeleza pale amabapo watangulize wake wamefikia na kulinda na kudhibitii Mila Silka na Desturi za Kizanzibariii kwa kuangalia Dini zote Mbili ambazo zinasimamia Muongzo wa Maadili ya Kizanzibar 

Mrajis wa baraza la sanaa sensa ya filamu na Utamaduni Juma Chumu Juma amesema wataendelea kusimamia haki na wajibu za wasani ili kupata haki zao na kutatua matatizo mbalimbali watakayokabiliana nayo

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.